Volcano yenye
ukubwa wa Ubelgiji (Belgium) imegunduliwa kwa mara ya kwanza, na jopo la
wanasayansi chini ya bahari ya Pacific. wanasayansi hao, wamegundua kuwa mwamba
huo mkubwa ulitokana na mlipuko wa lava, na kuifanya volcano hiyo mpya kuwa sio
tu ni kubwa duniani, bali ni kubwa katika solar system-kubwa kuliko Olympus Mons
(iliyoko mars.)
Tamu Massif Iko juu
ya plateau kubwa iliyoko Km 2 chini ya maji, kaskazini-kusini mwa bahari ya
pacific ya mashariki ya Japan,volcano hiyo yenye ukubwa wa sq Km 310,000
(119,000 sq m) haina madhara wanasayansi hao wamesema. Mara ya mwisho kuripuka
ilikuwa ni chini ya maji, miaka milioni 142 iliyopita wakati wa kipindi cha
mwisho cha Jurassic, kabla binaadam kuumbwa
Utafiti
uliochapishwa katika "Nature Geoscience unaonyesha kuwa formation zaidi ya
miamba mikubwa chini ya maji inaonekana kuwa ni matokeo ya volcano kubwa
zilizokufa zamani
credit: djfetty
Post a Comment