Naibu
Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava (kushito)
akisalimiana na Mike Bess ambaye ni mshauri na mmoja wa waanzilishi wa
Shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia mazingira na nishati
jadilifu (CAMCO) wakati wa warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji
mkakati wa nishati – tungamotaka (Biomass) nchini inayofanyika leo
katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam. 

Naibu
Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava akiongea
na washiriki wa warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji mkakati wa
nishati – tungamotaka (Biomass) nchini inayofanyika leo katika Hoteli ya
Colosseum jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Shirika
lisilo la kiserikali linaloshughulikia mazingira na nishati jadilifu
nchini (CAMCO) Jett Felten na kushoto ni mhadhili wa Chuo kikuu cha
Sokoine (SUA) ambaye pia ni mshauri wa CAMCO Prof. Romanus Ishengoma. 

Naibu
Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava akiongea
na washiriki wa warsha ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati –
tungamotaka (Biomass) nchini inayofanyika leo katika Hoteli ya Colosseum
jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku moja imeandaliwa na Shirika
lisilo la kiserikali linaloshughulikia mazingira na nishati jadilifu
nchini (CAMCO).
Washiriki
wa warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati –
tungamotaka (Biomass) nchini wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa wizara
ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava (hayupo pichani) wakati
akifungua warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati –
tungamotaka (Biomass) nchini leo katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar
es Salaam. Hivi sasa Serikali iko katika mchakato wa kubadilisha sera ya
nishati ili iweze kutekeleza mkakati wa tungamotaka.
Naibu
Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava (kushoto)
akiongea jambo na Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali
linaloshughulikia mazingira na nishati jadilifu nchini (CAMCO) Jett
Felten mara baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa warsha ya siku moja ya
kujadili uandaaji mkakati wa nishati – tungamotaka (Biomass) nchini
inayofanyika leo katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam.
Washiriki
wa warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati –
tungamotaka (Biomass) nchini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kufunguliwa kwa warsha hiyo leo katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar
es Salaam. Hivi sasa Serikali iko katika mchakato wa kubadilisha sera ya
nishati ili iweze kutekeleza mkakati wa tungamotaka.
Washiriki
wa warsha ya siku moja ya kujadili uandaaji mkakati wa nishati –
tungamotaka (Biomass) nchini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kufunguliwa kwa warsha hiyo leo katika Hoteli ya Colosseum jijini Dar
es Salaam. Hivi sasa Serikali iko katika mchakato wa kubadilisha sera ya
nishati ili iweze kutekeleza mkakati wa tungamotaka.
Picha na Anna Nkinda – Maelezo

Post a Comment