Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA YATOKEA MBEZI JIJINI DAR, BAADA YA DALADALA KUGONGA MAGARI MAWILI NA BAJAJI MBILI....!!!


Ajali mbaya imetokea eneo la bondeni, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam baada ya daladala ya Mwenge Kariakoo kukosa break na kugonga magari mawili na bajaji mbili. Katika ajali hiyo mama mmoja amegongwa vibaya na amekimbizwa hospitali ya Lugalo kwa matibabu.

Hali haikuwa nzuri maana kila mmoja alikuwa katika hali ya taharuki.



Bajaji zikiwa zimegongwa vibaya. PICHA NA WAJANJA WA TOWN BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top