Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AL SHABAB WASHEREHEKEA USHINDI WA SHAMBULIO LA WESTGATE KENYA.



Kundi la wanamgambo wa Al Shabab kutoka Somalia, Siku ya Jumanne walifanya sherehe ya  kujipongeza 
zilizofanyika mjini mwa Somalia  eneo la Barawa baada ya kufanya shambulio la mauaji nchini Kenya katika maduka ya WestGate Mwezi septemba Tar 21 ambapo watu takribani ya 67 walipoteza maisha ikidaiwa ni kulipa kisasi kwa mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa Kenya mjini Kismayo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top