 |
| Kaimu Mkuu wa Chuo cha uhifadhi na usimamizi wa Wanyama Pori
mkoani Kilimanjaro (MWEKA), Dkt. Freddy Manongi alkitoa maelezo katika
Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabili ujangili
duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama ssehemu ya
Maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Mweka. |
 |
| Wadau wa Uhifadhi wa Wanyapori kutoka katika nchi 20 duniani,
wakifuatilia mafunzo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu
za kukabili ujangili duniani,
iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho
ya miaka 50 ya chuo cha Mweka. |
 |
Wadau wa Uhifadhi wa Wanyapori kutoka katika nchi 20 duniani,
wakifuatilia mafunzo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu
za kukabili ujangili duniani,
iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho
ya miaka 50 ya chuo cha Mweka.
|
 |
| Mmoja wa Wawezeshaji akiwasilisha mada katika Kongamano la
kujadili changamoto na mbinu za kukabili ujangili duniani,
iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho
ya miaka 50 ya chuo cha Mweka. |
 |
| Sehemu ya wadau wa Uhifadhi wa Wanyapori kutoka katika nchi 20
duniani,
wakifuatilia mafunzo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za
kukabili ujangili duniani,
iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho
ya miaka 50 ya chuo cha Mweka. |
 |
| Kaimu Mkuu wa Chuo cha uhifadhi na usimamizi wa Wanyama Pori
mkoani
Kilimanjaro (MWEKA), Dkt. Freddy Manongi alkitoa maelezo katika
Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabili ujangili duniani,
iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama ssehemu ya Maadhimisho
ya miaka 50 ya chuo cha Mweka. |
 |
| Sehemu ya wadau wa Uhifadhi wa Wanyapori kutoka katika nchi 20
duniani,
wakifuatilia mafunzo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za
kukabili ujangili duniani,
iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho
ya miaka 50 ya chuo cha Mweka. |
on Tuesday, October 29, 2013
Post a Comment