Tukiwa
tunakumbuka na kusherekea maisha ya Baba wa taifa mwalimu Julius
Kambarage Nyerere, unaweza kuangalia hii documentary inayohusu maisha ya
mwalimu kuanzia alipozaliwa hadi alipoanza harakati za siasa. Siku kama
ya leo natumaini mtu wangu wa nguvu haya yatakuwa material mazuri kwa
ajili yako, enjoy.
Loading...



Post a Comment