Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MTEMVU AIPONGEZA BARRETTO

 

 Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Dk. Amaani Kighoma (kushoto) na Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo, Magreth Zacharia (kulia) wakipokea sehemu ya msaada wa glovu na nailoni za uzazi zenye thamani ya sh. mil. 5, zilizotolewa na Mwasisi wa Taasisi ya African Malaika, Fiona Barretto (wa pili kushoto). Anayeshudia hafla hiyo iliyofanyika hospitalini hapo juzi, ni Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu.
 Mtemvu, Baretto na Kighoma wakitoka baada ya kutoa msaada
 Mtemvu akimfariji mama ambaye alifiwa na mdogo wake aliyekuwa anajifungua katika Hospitali ya Temeke.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top