Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mrs. Monica Mwamunyange akitoa
hotuba ya kufunga Mkutano wa 7 wa mapitio ya utendaji wa sekta ya
Uchukuzi uliofanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili. Hotuba hiyo
ilisomwa kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi.
Mwenyekiti
wa washirika wa maendeleo, Dk. Yazuru Ozeki, akitoa hotuba yake kwa
niaba ya washirika wa maendeleo walioshiriki kwenyemkutano wa 7 wa mapitio ya Sekta ya Uchukuzi,uliofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam.
Bw.
Hassan Malik kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRL), akiwasilisha mada
ya utendaji wa Shirika hilo kwa Niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
kwenye mkutano wa Mapitio ya Sekta ya Uchukuzi jana jioni. Mkutano huo
wa siku mbili umewakutanisha wadau mbalimbali pamoja na wahisani
kujadili changamoto na nama ya kukabiliana na chngamoto zilizopo kwenye
sekta ya Uchukuzi
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mrs. Monica Mwamunyange akisikiliza
kwa makini mada mbalimbali zilizowasilishwa katika mkutano wa 7 wa
mapitio ya utendaji wa sekta ya Uchukuzi kabla ya kufunga jana jioni.
Kushoto kwa NAibu Katibu Mkuu ni Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya
Udhitbi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Bw. David Mziray.
Post a Comment