Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele akiwasili kwenye hoteli ya Mount
Meru jijini Arusha kufungua maonesho ya pili ya madini aina ya Vito
yanayotoa fursa Tanzania kua kituo kikubwa kwa madini.
Naibu Waziri wa Madini,Stephen Masele akihutubia wadau wa madini leo
kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha wakati akifungua maonesho ya
pili ya madini aina ya Vito.
Wadu wa sekta ya madini kutoka ndani na nje ya nchi wakifatilia hotuba ya Naibu Waziri Masele
Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele(kulia) akizungumza na
mfanyabiashara madini nchini,Dk Anthony Frisby katika hoteli ya Mount
Meru jijini.
Wafanyabiashara wakiangalia madini ya aina mbalimbali kutoka kwa wafanyabiashara wa DRC
Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele akimsikiliza Mwenyeikiti wa
TAMIDA,Sammy Mollel wakiti akitembelea mabanda ya wauzaji kwenye hoteli
ya Mount Meru jijini Arusha ..
Madini ya Tanzanite ambayo huchimbwa nchini Tanzania pekee katika machimbo ya Mererani mkoa wa Manyara.
Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele(kulia)akisalimiana na Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Arusha Techinical College,Gasto Leseiyo,Chuo
hicho kinatoa mafunzo ya Uchakataji madini na kutoa wataalamu
wanaokubalika katika soko la ajira.Habari Picha na www.rweyemamuinfo.blogspot.com
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Jioni5 hours ago
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-










Post a Comment