Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA: ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. PINDA CHENGDU NCHINI CHINA

 


IMG_0298
Waziri Mkuu, Mhe.  Mizengo pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Hinan Intternational Limited waliojipenga kuwekeza katika uboreshaji wa uzalishaji wa zao la pamba katika mikoa ya Shinyanga na Simiyu jijini Chendu akiwa katika ziara ya nchini China Oktoba 22, 2013. Wann kusoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Nasoro Rufanga na watano kushoto ni mkuu wa mkoa wa Simiyu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0312
Waziri mkuu, Mhe. Mizengo Pida na kewe Tunu wakitembelea Kituo Cha Utafiti wa wanyama aina ya Panda nje kitogo ya jiji la Chendu nchini China Oktoba 22, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0406 
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda kisalimian Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bio Energy  Ya Berlin, Bw. Alexander Boiton baada ya mazungumzo yao mjini Chengdu akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 22, 2013. Wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Chengdu De Tong Environmental Engineering Co Limited , Tong Boitin ba watatu kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Katani Limited, Salum Shamte. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top