| Bondia Twaribu Mchanjo kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mchezo wao uliofanyika gongolamboto mzambarauni Dar es salaam Mchanjo alishinda kwa point mchezo huo |

| Bondia Twaribu Mchanjo akishangilia ushindi baada ya kumdunda Kelvin Majiba kwa point |
| Bondia Emanuel Philomon kushoto akimtwanga makonde bondia Gaspar Hinde wakati wa mpambano wao philomon alishinda kwa K,O ya raundi ya nne |
Bondia
Abdul Zugo kushoto akipambana na Hassani Manula wakati wa mpambano wao
uliofanyika Gongolamboto Dar es salaa mpambano huo walitoka nguvu sawa
yani ni Droo picha nawww.superdboxingcoach. blogspot.com

Post a Comment