Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha akitia saini
kitabu cha mahudhurio kuuaga mwili wa marehemu Luteni Rajabu Mlima
kwenye kambi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ya Lugalo
jijini Dar es Salaam.
Askari wa JWTZ wakiutelemsha mwili wa marehemu kutoka kwenye gari la Jeshi katika viwanja vya Lugalo.
Askari wakiwa wameubeba mwili wa marehemu baada ya kuwasili.
Askari wakiuweka mwili wa marehemu kwenye meza maalum kwenye viwanja vya Lugalo kwa ajili ya kuagwa. Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Genarali Samuel Ndomba akitoa salamu za rambirambi. Viongozi wastaafu wa JWTZ waliohudhuria kuuaga mwili wa marehemu.
Post a Comment