Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. PINDA SHENZHEN CHINA

 

IMG_0585 IMG_0588
Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0605
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Abdulrahmani Shimbo. (Picha na Ofisi  ya Waziri
Mkuu) IMG_0609 IMG_0618
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0678
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0938
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top