Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK MVUNGI APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU ZAIDI


Dk. Sengondo Mvungi wakati akipelekwa MOI.
Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi leo asubuhi amepelekwa nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Dk. Mvungi alijeruhiwa vibaya na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi usiku wa Novemba 2 mwaka huu nyumbani kwake, Kibamba jijini Dar es Salaam na alikuwa akipatiwa matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika kitengo cha MO
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top