Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akiteremka katika ndege ya Serikali alipowasili katika uwanja wa Ndege
wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani huko.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Viongozi mbali mbali na Wanancchi, alipowasili katika
uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa katika ziara ya wiki moja kisiwani
huko.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi mbali mbali na
Wanancchi, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,akiwa
katika ziara ya wiki moja kisiwani huko.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kama isara ya uzinduzi wa kituo cha kununulia
Karafuu cha Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya Wete Kaskazini Pemba,akiwa
katika ziara maalum kisiwani Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiangalia Karafuu katika kituo cha Chanjaani-Mtambwe Wilaya ya
Wete Pemba baada ya kkukifua rasmi kituo hicho cha kununulia zao
hilo,akiwa katika ziara maalum kwa mikoa ya Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na wananchi baada ya kuapata maelezo na kuona hali
halisi ya ununuzi wa zao la Karafuu katika kituo cha
Chanjaani_Mtambwe,baada ya kukifungua kituo hicho akiwa katika ziara
maalum katika Mikoa ya Pemba .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakipata maelezo kutoka kwa Shaibu Hamadi
Ali,alipotembelea Kituo Mzambarauni akiwa katika ziara ya wiki moja
Kisiwani Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na wananchi na wakulima katika kituo cha Mzambarauni
baada ya kuangalia zoezi la Ununuzi wa Karafuu,akiwa katika ziara ya
Mkoa wa Kaskazini Pemba.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment