Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE NA WAKE WA MARAIS WA JUMUIYA YA MADOLA WATEMBELEA MAENEO MBALIMBALI MUHIMU HUKO COLOMBO-SRI LANKA


IMG_7734Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishangiliwa na watoto wadogo (chekechea) wa shule ya awali ya Carlton iliyoko Colombo, nchini Sri lanka wakati Mama Salma na wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Madola walipotembelea shule hiyo tarehe 16.11.2013.
IMG_7749Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizungumza na Mke wa Rais wa Sri lanka Madame Shiranthi Rajapakse ambaya pia ni Mwenyekiti wa Muungano wa Shule za Carlton nchini humo wakati walipokutana kwenye moja ya shule hizo iliyoko Colombo tarehe 16.11.2013.IMG_7757Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa kwa ngoma wakati alipokuwa anaingia Gangaramaya temple inayotumiwa na watu wa madhehebu ya Budha nchini Sri lanka tarehe 16.11.2013.IMG_7823Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatiwa na Mke wa Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mama Louise  Khurshid, na Mama Charlotte Scott, Mke wa Makamu wa Rais wa Zambia wakipata maelezo kuhusiana na Gangaramaya temple kutoka kwa Naibu Mkuu wa Temple hilo Van Kirinda Assage tarehe 16.11.2013.IMG_7855Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya vitabu kutoka kwa Kiongozi wa Gangaramaya Temple Van Kirinda Assage.IMG_7865Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Dunya Liyanage, 8, anayesoma darasa la 3 katika Shule ya Msingi ya Meusnes iliyoko mjini Colombo wakati Mama Salma na wake wa Marais kutoka nchi za madola walipotembelea maonesho ya Kendraya tarehe 16.11.2013.
IMG_7872Wake wa Marais na wakuu wa nchi za Jumuia ya Madola wakimwangalia  mama mmoja  wa Sri lanka aliyekuwa akitwanga kwenye kinu wakati walipotembelea maonesho ya Kendraya huko Colombo tarehe 16.11.2013.IMG_7890Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na wake wa Marais kutoka nchi za Jumuia ya Madola wakiangalia jinsi mwanaume na mwamamke wakishirikiana kufinyanga vyungu
PICHA NA JOHN LUKUWI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top