Katibu
mkuu wa Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko akiwahutubia washiriki wa
mkutano wa 14 wa wakurugenzi wa Mamlaka za maji safi na maji taka nchini
unaofanyika jijini Arusha
Mzee Job Lusinde Malecela mwenyekiti wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dodoma akichangia hoja katika mkutano huo. Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA, Hawa Sanare akijibu akichangia hoja katika mkutano Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Haruna Masebu akijibu swali la mwenyekiti Mhandisi Bashir Mrindoko juu ya bei za maji.
Picha
ya pamoja Mwenyekiti wa Mkutano, Bashir Mrindoko akiwa na Wakurugenzi
wa Mamlaka za maji nchini na wenyeviti wa mamlaka hizo.
Mkurugenzi wa Rasilimali za maji Wizara ya Maji, Hamza Sadiki akitoa ufafanuzi juu ya vyanzo vya maji nchini.
Post a Comment