Taarifa
zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haul
'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi akijaribu
kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka nyumbani
kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari lake
limeharibika.
on Monday, November 11, 2013




Post a Comment