Mtaa wa Kongo.
Makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi.
Wamachinga wakiendelea kutesa.…
Mtaa wa Kongo.
Makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi.
Wamachinga wakiendelea kutesa.
Mtaa wa Msimbazi.
Mtaa wa Tandamti.
WAFANYABIASHARA jijini Kariakoo Dar es Salaam, leo wamefunga maduka
yao na kususia kulazimishwa kutumia mashine za kutoza kodi kutoka
mamlaka ya mapato nchini TRA. Wakizungumza na mtandao huu
wafanyabiashara hao wamepinga kitendo cha kuuziwa mashine hizo kwa
shilingi laki 8 pamoja na kutozwa kodi kutokana na mauzo.
(PICHA RICHARD BUKOS / GPL)
on Monday, November 18, 2013
Post a Comment