Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ziara ya Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Shein Kaskazini -Pemba

 


IMG_1001
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa,alipowasili Mchangamdogo kukifungua Kituo cha  Polisi, akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_1014
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa kituo cha Polisi Mchangamdogo  , akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_1139
Baadhi ya wananchi wa Shehia ya Mchangamdogo Kaskazini pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wananchi hao baada ya kukifungua Kituo cha Polisi katika shehia hiyo leo, akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_1145
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na Jeshi  Polisi katika Kituo cha Polisi Mchangamdogo Wilaya ya Wete,baada ya kikufungua rasmi akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top