Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HII NDIO SAFARI YA MWISHO YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SELINA MAKINGA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA CBE DODOMA ... TAZAMA PICHA 150 ZA KILICHOJILI





Wafanya kazi wa chuo cha CBE wakiwa kwenye msiba wa marehemu Selina Makinga area 'A' wakisubiria kutoa heshima zao za mwisho kabla ya kusafirisha mwili huo kwao Iringa
Ndugu, Jamaa na Mrafiki wa marehemu





Rais wa COBESO Mhe, Remidus akiwa kwenye msiba wa marehe Selina Makinga, akiwa anahesabu hela ya kutoa rambirambi kiasi kilichofikia Tsh. 78,000/=


Familia ya marehemu wakiwa upande mmoja baada ya Padree kuongoza Misa Takatifu ya marehe Selina Makinga
Baadhi ya Wakristo wakishiriki kupokea ekaristi Takatifu
Marehemu akinyunyiziwa maji ya baraka kwa ishara ya imani yake aliyebatizwa kwa maji ya baraka
Muda wakuaga mwili wa marehemu
Mama akiangusha kilio baada ya kuaga mwili wa marehemu
Mwalimu Ndunguru wa CBE Dodoma akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu
Rais wa COBESO Mhe, Remidius M. Emmanuel akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu
Naibu waziri wa Fedha Mhe, Simba akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu



Mwalimu Maziku wa CBE Dodoma akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu
Mwalimu Mashenene wa CBE Dodoma akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu






Mwalimu Mirindo wa CBE Dodoma akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu




Mwalimu Lumanyika wa CBE Dodoma akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu
Ndugu wa Marehemu Selina Makinga wakitoa heshima zao za mwisho










Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top