Tamasha la Bodaboda(Boda boda Day) linatarajia kufanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders,Kinondoni.
Mgeni Rasmi atakuwa Mh.Edward Lowasa,ambapo kuanzia saa moja asubuhi
wale madereva wa Wilaya ya Temeke wataanzia uwanja wa Taifa,Ilala
wataanzia nyuma ya TBC,Tazara,Kinondoni wataanzia katika viwanja vya
biafra,maandamano yataelekea katika viwanja vya Leaders ambapo
yatapokelewa na mgeni Rasmi mh.Lowasa.
Maandamano yataongozwa na askari wa uasalama barabarani na ukifika utakabidhiwa t-sheti yako.
Lengo la tamasha hilo ni kuzindua saccos ya bodaboda na chama cha waendesha bodaboda Jijini Dar,na kujiunga na mfuko wa bima ya afya.
Wasanii mbalimbali watakuwepo kwa ajili ya kutoa burudani ambao ni Linex,Amin,Barnaba,Makoman doo,Walter,Aslay na Ney wa Mitego.
Tamasha limedhaminiwa na CLOUDS FM na PSPF
Maandamano yataongozwa na askari wa uasalama barabarani na ukifika utakabidhiwa t-sheti yako.
Lengo la tamasha hilo ni kuzindua saccos ya bodaboda na chama cha waendesha bodaboda Jijini Dar,na kujiunga na mfuko wa bima ya afya.
Wasanii mbalimbali watakuwepo kwa ajili ya kutoa burudani ambao ni Linex,Amin,Barnaba,Makoman
Tamasha limedhaminiwa na CLOUDS FM na PSPF
Post a Comment