Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HII NDIO SHUGHULI NYINGINE ANAYOIFANYA DK. CHENI




Sasa wasanii wa Tanzania wameanza kusogeza mbele maisha kwa kuwa wabunifu katika Nyanja ya kutoka kimaisha,


wapo wanotegemea muziki tu au filamu tu lakini tumekuwa tukimwona bwana mdogo Diamond amekuwa akifanya vitu vingi tofauti na mziki vya kumfanya aendelee kuwa juu katika sanaa yake. Alie mezani kwetu LEWIS MBONDE BLOG ni msanii Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha, Cheni ameuambia mtaandao wetu kuwa huwa anapokea simu nyingi sana za kumhitaji kufanya sherehe kama MC na yuko tayari wakati wowote anapohitajika maana yeye yupo kwa ajili ya jamii. Ukimhitaji wasiliana nasi  tutakupa mwongozo ili sherehe yako ifane.


Ukimkaribisha Cheni jiandae kufurahia sherehe yako.




Ni Mshehereshaji mzuri sana asiye na malingo, popote anapoalikwa kuwa MC yeye huwa tayari.
Download Our App

1 comments:

Namwaminia hana ubaguzi kiimani,kokote anafit

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top