"Askari
wa kikoloni", akipewa adhabu ya push up baada ya kuboronga wakati wa
gwaride. Hili lilikuwa igizo lililoendeshwa na askari polisi wakati wa
maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa
michezo Aman mjini Unguja Jumapili Januari 12, 2014.
Kamanda wa kikosi cha askari KAR, akiongoza wenzake kwenye onyesho la
kuiga lililoendeshwa na askari polisi kuonyesha jinsi jeshi la kikoloni
lilivyokuwa likifanya mambo yake.


Post a Comment