Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha mgombea wa nafasi
ya uwakilishi wa jimbo la Kiembesamaki Ndugu Mahmoud Thabit Kombo mara
baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kumteua kuwa mgombea
wa nafasi uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki kwa tiketi ya CCM. Picha
na Adam H. Mzee
Loading...



Post a Comment