Ofisa
mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki
wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni
hiyo China Bwana Cheng Wang Wu akizungumza na waandishi wa habari
kwenye hoteli ya Palace jijini Arusha wakati wa semina na waandishi hao
kuhusu mfumo wa kampuni hiyo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa
Tanzania kutafuta soko la bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi
za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa
gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani
hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake
kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni
njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China, kulia ni Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania.Meneja
Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akifafanua jambo
wakati wa semina hiyo kwenye hoteli ya Palace jijini Arusha, kulia ni Ofisa
mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki
wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni
hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na kushoto ni mmoja wa maofisa wa
kampuni hiyo China. Ofisa
Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande
akionyesha kipeperushi kinachoelezea moja ya makampuni makubwa ya
bishara ambayo yamesaini mikataba ya kibiashara na kampuni ya China
World Buz, katikati ni Ofisa mtendaji
mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda
45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo
China Bwana Cheng Wang Wu na wa pili kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda Meneja
Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akielezea mfumo ambao
kampuni hiyo itautumia kuwagizia bidhaa za wafanyabiashara ambao
hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula,
Hoteli kwani hatalazimika kusafiri kwenda chini ili kununua biashara
badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo,
Katikati ni Ofisa mtendaji
mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda
45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China
Bwana Cheng Wang Wu na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande Meneja
Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akielezea mfumo wa
soko kwa Watanzania nchini China kwa sasa ambao unawapa gharama kubwa
wafanyabiashara. Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika semina hiyo leo
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande
akitambulisha kampuni hiyo kwa waandishi wa habari jijini Arusha leo
wakati wa semina hiyo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUSHA)
Post a Comment