
Ndugu Mahmoud
Thabiti Kombo mgombea wa uwakilishi jimbo la Kiembesamaki aliyeteuliwa
na Kamati Kuu iliyokutana mjini Zanzibar tarehe 13 Januari 2014.

Naibu Katibu Mkuu
wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchemba akimpongeza Ndugu Mahmoud Thabiti
Kombo kwa kuteuliwa kuwa mgombea wa uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki,
kushoto ni Waziri wa Afya Dk.Hussein Mwinyi.
Picha na Adam H.Mzee
on Tuesday, January 14, 2014
Post a Comment