Mh. Lowassa aongoza harambee ya Kuchangisha fedha za Ujenzi wa Shule za Sekondani za Kata katika Tarafa ya Mbagala,jijini Dar
Brass Band ya Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiongoza Matembezi ya Hisani kwa ajili ya Harambee
ya Kuchangisha fedha za Ujenzi wa Shule za Sekondani za Kata katika Tarafa ya
Mbagala,iliyofanyika katika Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Mt. Anthony,Mbabala
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Mgeni Rasmi katika Harambee hiyo ambayo
iliambatana na Uzinduzi wa Mahafali ya Wanafunzi wahitimu wa Kidato cha Nne
alikuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa.ambapo zaidi ya shilingi milioni 250 zilipatikana kwenye harambee
hiyo.
Baadhi ya Askari wa Jeshi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipiga vyombo mbali mbali vya Muziki kwenye
Matembezo hayo.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) ambaye ndie aliekuwa
Mgeni Rasmi kwenye harambee hiyo akionekana kwenda sambamba na Matembezi
hayo.
Mh. Lowassa akiwasalimia
Wanafunzi,Walimu na Wazazi wa Watoto wanaosoma katika Shule mbali mbali za
Sekondari eneo la Mbagara jijini Dar es Salaam leo.
Sehemu ya Wanafunzi kutoka
Shule mbali mbali za Kata zilizopo kwenye Tarafa ya Mbagala jijini Dar es Salaam
wakimsikiliza Mgeni Rasmi,Mh. Edward Lowassa (hayupo
pichani).
Mwanafunzi wa Kidato cha
Kwanza wa Shule ya Sekondari ya Mbagala jijini Dar es Salaam,Kijoy Selemani
akisoma Risala ya Wanafunzi kwa niaba ya Wenzake wa Shule mbali mbali zilizopo
katika Tarafa ya Mbagala jijini Dar es Salaam,wakati wa Harambee ya Kuchangisha
fedha za Ujenzi wa Shule za Sekondani za Kata katika Tarafa ya Mbagala iliyoenda
sambamba na Uzinduzi wa Mahafali ya Wanafunzi wahitimu wa Kidato cha
Nne,iliyofanyika katika Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Mt. Anthony,Mbabala
jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo
la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile muda mfupi kabla ya kuanza kwa harambee
hiyo.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya
Sekondari ya Mbagala,Mwl. Marcelina Kimario akisoma risala mbele ya Mgeni Rasmi
kwenye Harambee hiyo.
Mbunge wa Jimbo la
Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akiwahutubia Wananchi wa Mbagala pamoja na
Wanafunzi wa Shule mbali mbalia zilizopo kwenye Tarafa ya Mbagala,wakati wa
Harambee ya Kuchangisha fedha za Ujenzi wa Shule za Sekondani za Kata katika
Tarafa ya Mbagala iliyoenda sambamba na Uzinduzi wa Mahafali ya Wanafunzi
wahitimu wa Kidato cha Nne,iliyofanyika katika Uwanja wa Shule ya Sekondari ya
Mt. Anthony,Mbabala jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Wananchi wa Mbagala
pamoja na Wanafunzi wa Shule mbali mbalia zilizopo kwenye Tarafa ya
Mbagala,wakati wa Harambee ya Kuchangisha fedha za Ujenzi wa Shule za Sekondani
za Kata katika Tarafa ya Mbagala iliyoenda sambamba na Uzinduzi wa Mahafali ya
Wanafunzi wahitimu wa Kidato cha Nne,iliyofanyika katika Uwanja wa Shule ya
Sekondari ya Mt. Anthony,Mbabala jijini Dar es Salaam.ambapo jumla ya Sh. Mil
250 zilipatikana kwenye harambee hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimina na Mbumbe wa Jimbo la
Ilala,Mh. Mussa Azan Zungu.
Wananchi wa Mbagala
wakionyesha moyo wao wa kuchangia elimu katika Tarafa yao,mbele ya mgeni
rasmi.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza jambo na mmoja wa
wakazi wa Mbagala aliejitambulisha kwa jila la Bi. Aisha.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikabidhi vyeti vya kuhitimu
elimu ya Sekondari kwa wanafunzi wa Kidato cha Nne kutoka shule mbali mbali
zilizopo kwenye tarafa ya Mbagala jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Madiwani wa
Temeke wakiwa kwenye Harambee hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akipokea zawadi kutoka
kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee hiyo,Bw. Tryphon Lutina (kushoto) mara
baada ya kumalizika kwa harambee hiyo.Kushoto ni Mbumbe wa Jimbo la
Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile.
Picha ya Pamoja na wajumbe
wa Kamati ya Maandalizi ya harambee hiyo.
Mh. Lowassa akiwaafa wakazi
wa Mbagala.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na Mbunge wa Jimbo la
Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile.
































Post a Comment