Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA TENA IKIHUSISHA "KIPANYA" NA LORI LA MAFUTA WALIOGONGANA USO KWA USO


WATU wanne wapo katika hali mbaya na wengine saba wamejeruhiwa baada ya lori scania namba T653 BFD  (scania 380) kugongana uso kwa uso na baso dogo la abiria Toyota Hiace T613 CPG iliyokuwa inatoka mbagala kwenda mkuranga.
Kwa mujibu wa shuhuda ya ajali hiyo iliyotokea Mwandege, Dominic Kubhota, ameiambia blogu hii usiku huu kwamba chanzo cha ajali hiyo ni ovateki isiyotumia akili ya lori hilo .
Majeruhi hao wamefikishwa katika hospitali ya Mkuranga, lakini muda mfupi baadaye walianza kukimbizwa kuleta dare s salaam kw amatibabu zaidi.
Abiria wawili waloikuwa mbele  ya daladala walikatika miguu.

Majeruhi wengine walioweza kuzungumza ni:
Mustafa mfungapoa wa mkuranga
Abdul Ally wa mwandege
Ramadhani rajab
Theofrida Mwinuka ( alikuwa mbele amevunjika miguu)
Jamal  mbaraka ( aliyekwanguka ngozi ya kichwa)
Abraham Mohamed
Swalehe salum
NA LUKWANGULE 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top