Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BILL GATES ATUPWA NJE UENYEKITI MICROSOFT

Mmiliki wa Microsoft  Bill Gates amejiondoa kama mwenyekiti wa kampuni yake ya Microsoft na kushika wadhifa mpya kama mshauri wa teknolojia. Satya Nadella ametajwa kuwa mwenyekiti mtendaji mkuu wa kampuni hiyo.






Tangazo la CEO mpya limekuja baada ya aliyekuwepo Steve Ballmer kutangaza mwaka jana nia yake ya kustafu.


Nadella anakuwa mwenyekiti mtendaji wa tatu katika historia ya miaka 39 ya Microsoft, baada ya mwanzilishi mwenza Bill Gates na Steve Ballmer.Microsoft imesema John Thompson atachukua nafasi ya uenyekiti iliyoachwa na Bill Gates.
Source:-bongo61.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top