
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jioni hii jijini Dar es salaam.

Wanahabari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba yakitangazwa jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jijini Dar es salaam. Bunge la Katiba litakalokuwa na wajumbe 640, litakutana kwa siku 70 (na kuongezewa siku 20 kama hawatoafikiana) kujadili Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Desemba 30, mwaka jana. Orodha kamili itawekwa hapa muda si mrefu ujao. Stay tuned...
credit:issamichuzi blog


Post a Comment