Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MRISHO NGASSA AKIRI AMISI TAMBWE NI HATARI, AZUNGUMZIA KUFIKIRIA KUACHA KUCHEZA SOKA NA MECHI YA MBEYA CITY

 


Mshambuliaji wa klabu ya Yanga ametumia akaunti ya mtandao wake wa Twitter kutoa sifa nzuri kwa mshambuliaji wa klabu ya Simba Amisi Tambwe. Ngassa pia ametumia akaunti hiyo kuzungumzia changamoto alizokutana nazo kwenye soka kiasi cha kufikiria kuachana na mchezo huo, huku akisema mechi ya Yanga dhidi ya Mbeya City ni mechi kubwa sana kwenye kumbukumbu zake za soka na alifurahia mno kushinda.


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top