Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MTU MMOJA AKUTWA AMEJINYONGA UFUKWE WA SPICE HOTEL

 

 Askari akiwa amepanda mti ili aweze kukata kamba aliyotumia kujinyonga


 Amekutwa katika hali hii


 Haijafahamika ni kwa nini kachukua maamuzi haya




 Mwili wa marehemu ukishushwa


 Kamanda wa polisi wilaya ya Bukoba akishuhudia tukio


 Wananchi waliokusanyika katika tukio






 Mkuu wa kituo cha polisi Bukoba(mwenye koti) akiwa anaangalia baadhi uya vitu vya marehemu alivyokuja navyo kabla ya kujinyonga


 Hivi ni vitu vya marehemu alivyokuja navyo babla ya kujinyonga












 Maeneo ya spice beach


 Mmoja wa watu wa kwanza kutoa taarifa kituo cha polisi Mama Faima




 Mwili wa marehemu ukipakiwa kwenye gari la polisi


Mwili wa marehemu ukipelekwa kuifadhiwa hospital ya mkoa wa kagera
 
*******
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Bahati maarufu kwa uuzaji wa mifuko ya plastiki maeneo ya stand kuu ya mabasi Bukoba amekutwa kajinyonga juu ya mti maeneo ya ufukwe wa Spice Motel majira ya saa nane mchana ..






Taarifa za awali kutoka kwa watu waliokuwa katika tukio hilo zinasema kuwa , kabla ya kifo cha, marehemu alionekana akiwa na mafurushi ya vitu na alikuwa akifua katika eneo hilo la ufukwe...





Mtu mmoja ambae hakuwa tayari kutaja jina lake ameueleza mtandao huu kuwa leo majira ya saa 12.00asubuhi alisalimiana na marehemu maeneo ya stand ya mabasi akiendelea na shughuli yake ya kutembeza mifuko ya plastiki kwenye mabasi yaendayo mikoani na maeneo mengine akiwa mzima wa afya.





Mwili wa marehemu umepelekwa Hospital ya Mkoa wa Kagera kuifadhiwa kwa ajili ya utambuzi ( ndugu zake )

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top