Jeneza la Marehemu, Sekunda
Mushi (42), aliyeuwawa kinyama usiku wa kuamkia, Januari 6, wakiwa na
majonzi katika mazishi ya mwanamke huyo anayedaiwa kuuwa kwa sababu ya
kimapenzi baada ya kuibuka kwa ugomvi kati yake na Mpenzi wake,
aliyetajwa kwa jina la Gerald Mamkwe.
|
Jeneza
la mwili wa Marehemu Sekunda Mushi likiingizwa kaburini katika maziko
yaliyofanyika jana katika kijiji cha Longuo A, kata ya Uru Kusini,
manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. |
|
Baba
mzazi wa Sekunda Mushi (mwenye suti Nyuesi), akisikliza mahubiri ya
mwisho katika ibada ya maziko ya mwanae, Sekunda Mushi, aliyeuwawa
kikatili usiku wa kuamkia Januari 6 katika kile kile kinachodaiwa kuwa
ni ugomvi wa kimapenzi. |
|
Mzee
Onesmo Mushi, ambaye ni Baba Mzazi wa Marehemu Sekunda Mushi, akiweka
udongo katika kaburi la mwanamke huyo aliyeuwawa kinyama na mtu
anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, kutokana na ugomvi wa kimapenzi. |
|
Mama
Aurea Mushi, ambaye ni Mama Mzazi wa Marehemu Sekunda Mushi, akiweka
udongo katika kaburi la mwanamke huyo aliyeuwawa kinyama na mtu
anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, kutokana na ugomvi wa kimapenzi. |
Picha Ziadi Bofya hapa KIJIWE CHETU BLOG
on Sunday, February 9, 2014
Post a Comment