Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana
na Meya wa Jimbo la Califonia nchini Marekani Mstahiki Osby
Davis,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana
mawazo na Meya wa Jimbo la Califonia nchini Marekani Mstahiki Osby
Davis,leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana
nao .Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Post a Comment