Waziri wa
Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, akifunua pazi ili kuzindua Baraza la
Wafanyakazi wa SSRA, Bagamoyo leo.Anayepiga makofi ni Mkurugenzi Mkuu wa
SSRA, Bi. Irene Isaka.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa SSRA, Bagamoyo leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene
Isaka, akisoma hotuba yake na kisha kumkaribisha Waziri wa Kazi na
Ajira, Gaudentia Kabaka, aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo.
Waziri wa
Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha
Uhusiano na Uhamasishaji, Sarah Kibonde Mkataba wa Huduma kwa Wateja,
wakati wa uzinduzi huo. Kushoto niMkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene
Isaka.
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka, akimkabidhi Waziri wa Kazi na Ajira,
Gaudentia Kabaka, Mkataba wa Baraza la Wafanyakazi wa SSRA. Kulia
anayepiga makofi ni Mkurugenzi wa Utumishi na Utawa wa wizara hiyo, Noah
Mwaikuka.


Post a Comment