Waziri
wa nchi ofisi ya Rais Mhe.Prof.Mark J.Mwandosya akizungumza na Mawaziri
wa Rwanda.Kutoka kulia ni waziri ofisi ya Rais Mhe.Venantie Tugireyezo,
Waziri wa mambo ya nje Mhe.Louise Mushikiwabo pamoja na kaimu balozi wa
Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja.
Source - Michuzi Blog
on Sunday, February 9, 2014
Post a Comment