Ajali mbaya imetokea muda mfupi uliopita kituo cha Ubungo lango kuu la
kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo
UDA. Lori lafeli break na kusababisha uharibifu Mkubwa wa Magari na watu
kuumia vibaya sana kituo cha Mabasi Ubungo. Magari kibao yafinyangwa.
Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
VOA Express4 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-











Post a Comment