1. wakati Mbowe anamvua umakamu mwenyekiti Wa CHADEMA marehemu CHACHA
ZAKAYO WANGWE aliruhusu KURA YA WAZI na ikapigwa kura ya WAZI.
2. Wakati MBOWE anamchinjia baharini CHARLES MWERA na kumpitisha MWITA MWIKWABE kugombea ubunge Tarime 2010 alilazimisha ipigwe kura ya Wazi. Kura ikapigwa
3. Wakati Mbowe analazimisha kumvua nafasi zote za uongozi Zitto Kabwe aliiamuru kamati kuu ipige kura ya Wazi.
4. Wakati Mbowe anamvua madaraka Dokta Kitila na Samsoni Mwigamba aliishinikiza Kamati kuu ipige kura ya wazi.
5. Wakati Mbowe anamfukuza Uanachama Dkt. KITILA MKUMBO alisisitiza kutumika kwa KURA YA WAZI..
6. Wakati Mbowe anamtimua uanachama Samsoni Mwigamba alishinikiza itu Mike KURA YA WAZI......
Masikini leo anaiogopa kura ya Wazi. Duh
Bila kujijua wanawapa umaarufu wabure CCM.
Eeeee mwenyezi Mungu tuongoze salama
Credit: kimeta wa mpui - facebook
![]() |
| MBOWE |

Post a Comment