Wapita
njia wakiangalia Jengo lililokuwa la vyumba vya biashara lililopo
barabara ya saba mkabara na Kitemba hotel lililobomolewa jana saa 11
alfajili na Tinga tinga la Mamraka ya ustawishaji mji wa Dodoma(CDA)
chini ya ulinzi mkali wa polisi waliokuwa wamefunga njia kwa masaa kadha
mara baada ya jengo hilo kukarabatiwa. Picha na John Banda
Huu ndio
mwonekano wa jengo ilo kubomolewa na Mamraka ya ustawishaji mji wa
Dodoma (CDA) baada ya kukarabatiwa. Sababu zilizopelekea jengo hili
kubomolewa ni kujenga jengo lililochini ya kiwango maana wanataka maeneo
yote ya mji wa Dodoma kujengwa maghorofa ili kuimarisha mji huo.
Baadhi ya wafanya biashara wakitoa mali zao kwenye maduka hayo baada ya tinga tinga kumaliza kazi yake.
Post a Comment