Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wananchi/Wanakijiji wa kijiji
cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini mapema leo
jioni,alipokwenda kuzungumza nao na kuomba ridhaa yao ya kuwaongoza kama
Mbunge.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wananchi/Wanakijiji wa kijiji
cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo
jioni,alipokwenda kuzungumza nao na kuomba ridhaa yao ya kuwaongoza kama
Mbunge.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akipeana mikono na baadhi ya Wazee wa kijiji cha
Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo
jioni,alipokwenda kuzungumza nao kwenye mkutano wake wa hadhara katika
suala zima la kuomba kura na kupata ridhaa ya wanakijiji hao kuongozwa
na yeye akishinda kiti hicho cha Ubunge wa jimbo la Kalenga.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akiteta jambo na baadhi ya Wazee wa kijiji cha Ilala
Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini mapema leo
jioni,alipokwenda kuzungumza nao kwenye mkutano wake wa hadhara katika
suala zima la kuomba kura na kupata ridhaa ya wanakijiji hao kuongozwa
na yeye akishinda kiti hicho cha Ubunge wa jimbo la Kalenga.
Baadhi
ya Wazee wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa
Vijijini,wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo
wa jimbo la Kalenga mapema leo jioni.
Baadhi
ya Wazee wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa
Vijijini,wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo
wa jimbo la Kalenga mapema leo jioni.
Wanachama
wa chama cha CCM na wananchi wakishangilia jambo wakati wa mkutano wa
hadhara uliofanywa na CCM mapema leo jioni,ambapo mgombea wa chama
hicho,Godfrey Mgimwa alifika na kujinadi kuomba kura na ridhaa ya
kuongoza jimbo hilo.
Naibu
Meya wa Manispaa ya Iringa,Mh.Gervas Ndaki akiwa amepiga magoti
ikiashiria kutoa heshima kwa wananchi kwa ajili ya kuwaomba kura kwa
ajili ya Mgombea wa CCM,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika
kijiji cha Ilala Simba kata ya Nzihi mkoani humo.
Anafaaaaaa.......akina mama wakishangilia
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akizungumza na Wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha
Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini mapema leo
jioni,akiomba kura na ridhaa yao ya kuwaongoza kama Mbunge. Ndugu Mgimwa
alisema kuwa Wananchi Wamuamini kwani anafahamu changamoto zilizopo na
majibu ya kuzitatua anayo "Nimefanya utafiti wa kutosha hivyo najua
changamoto zinazotukabili,nipeni nafasi ili niweze kuzitatua kupitia
Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010" alisema Mgimwa
Wananchi wakishangilia mara baada ya Mgombea wa CCM kuwasili katika kijiji cha Magubike,Kata ya Nzihi mapema leo jioni.
Huyu ndiyo chaguo letuuuuu...
Akisalimiana na akina mama wa kijiji cha Magubike
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha
CCM,Godfrey Mgimwa akipokelewa kwa shangwe mapema leo jioni katika
kijiji cha Magubike,kabla ya kuzungumza nao kwenye mkutano wake wa
hadhara,katika safari nzima ya kuomba kura na ridhaa ya kuwaongoza kwa
nafasi ya Ubunge.
Hapa ni ushindiiii tuuuu.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba akihutubia kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika mapema leo jioni katika kijiji cha Magubike,ikiwa ni
sehemu ya kumnadi mgombea wa chama hicho,Ndugu Godfrey Mgimwa ambaye
anagombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kalenga.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba akihutubia kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika mapema leo jioni katika kijiji cha Magubike,katika
suala zima la kumnadi mgombea wa chama hicho,Ndugu Godfrey Mgimwa ambaye
anagombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kalenga.
Baadhi
akina mama wa kijijii cha Magubike wakisikiliza sera zilizokuwa
zikitolewa na Mgombea Ubunge wa jimbo la Kalenga,Ndugu Godfrey Mgimwa.
Post a Comment