VURUGU
UWANJANI, Mashabiki wa Simba waking'oa viti na kuwarushia mashabiki wa
Yanga, kabla ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Yanga na Al-Ahly
unaotarajia kuanza muda mchache ujao.
Vurugu
hizo zimeanza baada ya mashabiki wa Yanga kuamua kuzunguka uwanja huo
na kusogea hadi eneo la mashabiki wa Simba huku wakishangilia jambo
ambalo liliwaudhi mashabiki wa simba ambao waliamua kuanza kurusha chupa
za maji na wengine kung'oa viti na kuwarushia mashabiki wa Yanga.
Mashabiki wa Simba wakirusha viti kuwashambulia mashabiki wa Yanga.
Mashabiki wakifurahia huku wakionyesha bango lenye idadi ya mabao.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia uwanjani.....
Imechotwa: sufiani mafoto blog
Post a Comment