Ajali
mbaya ya pikipiki ambapo mwendesha Bodaboda amemgonga mtu mmoja
aliyefahamika kwa jina la Heri Idd mkazi wa kata ya Ng'ambo manispaa ya
Tabora, Idd aligongwa na Bodaboda hiyo wakati akiwa barabarani
akiendesha usafiri wake wa baiskeli na mara baada ya kugongwa na
kuvunjika mguu,Mwendesha Bodaboda ambaye hakufahamika mara moja aliamua
kukimbia na kuicha pikipiki yake imezunguukwa na umati wa watu huku
majeruhi akipatiwa msaada wa kupelekwa hospitali ya mkoa wa Tabora
Kitete kwa ajili ya matibabu. Loading...
Home » Unlabelled » MWENDESHA BODABODA AMGONGA MTU NA KUMVUNJA MGUU,ATIMUA MBIO NA KUTELEKEZA PIKIPIKI
MWENDESHA BODABODA AMGONGA MTU NA KUMVUNJA MGUU,ATIMUA MBIO NA KUTELEKEZA PIKIPIKI
Ajali
mbaya ya pikipiki ambapo mwendesha Bodaboda amemgonga mtu mmoja
aliyefahamika kwa jina la Heri Idd mkazi wa kata ya Ng'ambo manispaa ya
Tabora, Idd aligongwa na Bodaboda hiyo wakati akiwa barabarani
akiendesha usafiri wake wa baiskeli na mara baada ya kugongwa na
kuvunjika mguu,Mwendesha Bodaboda ambaye hakufahamika mara moja aliamua
kukimbia na kuicha pikipiki yake imezunguukwa na umati wa watu huku
majeruhi akipatiwa msaada wa kupelekwa hospitali ya mkoa wa Tabora
Kitete kwa ajili ya matibabu. BLOG RAFIKI
-
-
-
Alfajiri4 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-

Post a Comment