Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RIDHIWANI KIKWETE HAKAMATIKI NA KAMPENI ZAKE JIMBO LA CHALINZE

 


1
Meneja  kampeni wa mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Kazidi akimnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye kata ya Ubena kijiji cha Visakazi wakati alipofanya mikutano mbalimbali katika kata hiyo kuomba kura kwa wananchi wa kata hiyo ili wampe kura katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 mwaka huu.

10 
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze  kupitia  CCM Bw. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Mpigapicha wa magazeti ya Jambo  Leo Richard  Mwaikenda wakati wamkkutano wake wa kampeni kata ya Ubena. 12
Mwimbaji wa kundi la TOT Hafsa Kazinja akifanya vitu vyake katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Kaloleni kata ya Ubena leo. 13
Msanii Dokii akiimba wakati wa mkutano wa kampe ni katika kijiji cha Kaloleni . 4
Umati mkubwa umehudhuria katika mkutano huo. 5
Msanii Sam wa Ukweli akiimba katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kaloleni. 6
Msanii Dokii akimkabidhi Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Ridhiwani Kikwete fulana yenye picha yake ambayo imebuniwa na msanii huyo. 7
Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake.
 8
Baadhi ya wananchi w aliojitokeza katika mkutano wa Kampeni katika kijiji cha Visakazi kata ya Ubena.
9
Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi Bw. Miraji Mtaturu akngea na wana Chalinze katika kijiji cha Ubena
 11
Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni kijiji cha kaloleni
.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top