Pichani ni
Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania,Bwa.Deos
Mndeme akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao makuu ya Ofisi
hizo jijini Dar mapema leo kuhusiana na taarifa juu ya utekelezaji wa
Mpango Kabambe wa miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta Tanzania,wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha miaka 50 ya Muungano.
Pichani Kulia
ni Meneja Mkuu Uendeshaji wa Biashara,Bwa.Fortunatus Kapinga akifafanua
jambo kuhusiana na taarifa juu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe wa
miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta Tanzania,wakati Tanzania
ikielekea kuadhimisha miaka 50 ya Muungano.Amesema kuwa Shirika la Posta
limeanza utekelezaji mpango kabambe wa miaka kumi (2014-2023) ikiwa ni dira na mwelekeo wa kuliongoza shirika hilo liweze kujiendesha kibiashara,kubuni
na kutoa huduma mbadala,kutumia teknolojia maridhawa na kukidhi
mahitaji ya soko la huduma za mawasiliano jumuishi.Kushoto kwake ni Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta
Tanzania,Bwa.Deos Mndeme.
Tanzania,Bwa.Deos Mndeme.

Pichani
kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Masuala ya Kimataifa wa
Shirika la Posta Tanzania,Bwa.Elias Madule akifuatilia mkutano huo akiwa
sambamba na mdau mwingine wa shirika hilo la Posta.
Waandishi wa
Habari wakisikiliza taarifa juu ya utekelezaji wa Mpango Kabambe
wa miaka kumi (2014-2023) wa shirika la Posta Tanzania kutoka kwa
Viongozi wakuu wa Shirika hilo,katika mkutano uliofanyika mapema
leo,ndani ya Makao makuu ya Ofisi hizo jijini Dar.





Post a Comment