Mheshimiwa
Rais Jakaya Kikwete leo March 21 amelihutubia Bunge Maalum la Katiba
baada ya kupata mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo Mheshimiwa Samuel
Sitta,ameongea vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na suala la Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar.Bonyeza play kusikiliza hotuba yote ya Rais Kikwete hapa


Post a Comment