Watu
wawili wamefariki dunia leo baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293
ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili
namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali hiyo katika kijiji
cha Ngongo mkoani Lindi na abiria saba walijeruhiwa. Majina ya
marehemu na ya majeruhi hayakuweza kupatikana mara moja. Picha na
Abdulaziz Video.
TikTok yapigwa marufuku Albania
23 minutes ago
Post a Comment