NA FRANK KIBIKI, IRINGA
mkazi
wa kijiji cha Ilindi wilayani Kilolo Thomas Kilonge(42), amefariki duania baada
ya kung’atwa na nyoka.
Kaimu Kamanda wa
jeshi la polisi mkoani Iringa, Wankyo Nyigesa alisema tukio hilo limetokea juzi kijijini hapo na kumtaja
aliyefariki kuwa ni mkulima wa kijiji cha Ilindi.
Hata hivyo alidai
kuwa mazingira ya kung’atwa na mdudu huyo bado hayajajulikana na kwamba, jeshi
la polisi linaendelea na uchunguzi wake.
Post a Comment