Wachezaji
wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Azam FC ya Chamazi Dar es Salaam
wakishangilia baada ya kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka
Tanzania 2013-2014. Ubingwa huo ulikuwa unashikiliwa na Yanga
iliyoambulia nafasi ya pili na leo ikitoka sare na Simba 1-1.
on Saturday, April 19, 2014
Post a Comment