Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mkutano wao
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori (kushoto) akikaimu uenyekiti wa moja ya vikao vya
Baraza Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii. Kulia
ni Katibu wake. Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani K. Dau (kushoto) akizungumza na mmoja wa wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilo katika mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mkutano wao.
Mkurugenzi
Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani K. Dau (wa kwanza kushoto) akizungumza na
baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, ambao pia ni wajumbe wa
Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF baada ya kumalizika kwa kikao cha
baraza hilo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya
viongozi waandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambao
pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilo.
Post a Comment